Thursday, 14 April 2011

Kuondoa Chunusi/Vipele Matakoni.

Watu wengi upata chunusi kwenye makalio. Maeneo ya kawaida kupata chunusi au vipele ni usoni, shingoni, mikono, kifuani, mgongoni na kati kati ya mapaja. Hata hivyo vipele vinaweza kutokea mahali popote. Asilimia themanini ya watu upata chunusi/vipele kwa wakati fulani. Wanaume nao upatwa na chunusi ila ni kwa kipindi kifupi lakini wanawake upata chunusi kwa muda mrefu sana.

Njia bora ya kuondoa chunusi ni kupandana na vitu vinavyosababisha chunusi na kupata matibabu. Sasa tuangalie sababu ya chunusi (ikiwa ni pamoja na chunusi kwenye makalio), na kisha matibabu ya ufanisi zaidi ya kuondoa na kupunguza chunusi. Kwa kufuata ushauri huu, utopata chunusi kwenye makalio au mahali popote.Sababu ya chunusi kwenye makalio.
Hakuna sababu ya uhakika kuhusu sababisho la chunusi kwenye matako ambayo imethibitishwa hadi sasa. Wengi wanaamini kwamba uvaaji wa nguo mara kwa mara ambao hauruhusu ngozi kupumua inasababisha chunusi kwenye makalio. Inawezekana sababu nyingine ya chunusi kwenye makalio ni pamoja na: Baadhi ya Dawa au Sabuni, kutokuosha mashuka na nguo mara kwa mara, stress, chakula, kutokuweka mwili wako safi na homoni.
Chunusi/Vipele zinaweza kuathiri mtu yeyote. Vijana au wazee, mweusi au mweupe, mwanamume au mwanamke, mtu yeyote anaweza kuathirika na Chunusi au Vipele.

Sababu nyingine ni pamoja na:
Umri. Mabadiliko ya Homoni kwa vijana kikawaida yanaweza kusababisha chunusi.
Magonjwa. Magonjwa mengi yanaweza kusababisha mabadiliko ya homoni, ambayo usababisha chunusi.
Mabadiliko ya Homoni. Hasa kwa wanawake yanayohusiana na hedhi au ujauzito.
Diet. Kula kwa afya usaidia mwili wako wote. Baadhi ya vyakula vinaweza kusababisha flare-ups ya chunusi, sana sana vyakula vya mafuta.
Usafi Binafsi (Personal hygiene). Kusafisha sehemu moja mara nyingi ni hatari kwani sabuni nyingine ni kali kwa ngozi na zinaweza kukuchubua au kukuletea vipele, na kushikashika au kukuna vipele usababisha ukuaji kuongezeka zaidi. Hii ni sababu kuu mojawapo ya kupata vipele matakoni
.
Mazingira. Hali ya hewa, uchafu, na jasho usababisha vipele katika ngozi yako.
Stress. Stress inaweza kusababisha matatizo mengi ikiwa ni pamoja na chunusi.
Kutumbua/kubinya Chunusi. Hii itafanya ngozi yako kuwa na uwezekano wa kuendeleza zaidi vipele/chunusi na inaweza kusababisha madoa au makovu.


Kwa kwa kuepuka kufanya vitu vinavyosababisha uongezeko wa chunusi, basi vipele vitaacha kuongezeka kwa asilimia kadhaa kwa kufanya hayo na kwa kutumia matibabu unaweza kupunguza au kuondoa chunusi kwenye matako na pia chunusi katika maeneo mengine ya mwili wako.

Matibabu fanisi zaidi ya chunusi kwenye makalio ni kufuata hatua mbili zifuatazo:
Hatua ya Kwanza.
Hatua ya kwanza ni kuosha kwa taratibu na kusafisha eneo lililoathirika mara kadhaa kwa siku. Ni muhimu kuosha na cleanser iliyo bora zaidi. Imeonyesha kuwa cleanser bora na nzuri yafaa iwe na vitu muhimu vifuatavyo: 
Lappa Arctium: utumika kwa ajili ya matibabu ya ngozi yenye vipele au chunusi sugu.
Bulbine Frutescence: usaidia kuzuia maambukizi ya ngozi, uponyaji wa chunusi na matatizo mengine ya ngozi. Pia kulinda ngozi zaidi ya bakteria.
Lavender Essential Oil: Lavender utumika kutibu vidonda na kuzuia makovu. Ni inajulikana kwa ajili ya kutibu chunusi kwenye makalio.
Azadirachta Indica: utumika kwa ajili ya kupambana na bakteria pamoja na kupambana na uchochezi. 
Melaleuca Alternifolia (Tee Tree Oil):  Utafiti umeonyesha kuwa inauponyaji wa kipee kutokana na kupambana na bakteria, vimelea na Septic. Ni moja ya mafuta ya kipekee ambayo yanaweza kutumika bila kukuretea muwasho au kukausha ngozi yako.
Napendekeza kwa wasomaji wangu wote ili kuwa na mafanikio mazuri katika ngozi yako, jaribu kutumia CleanSkin Wash .Kutumia hii cleanser ni dhahiri itakusaidia kuondoa chunusi katika makalio na mahali popote.

Hatua ya Pili.
Hatua ya pili ni kwa kutumia tiba ya chunusi au vipele mara kadhaa kwa siku. Utafiti umeonyesha kuwa dawa ya chunusu iwe na vitu muhimu vifuatavyo: 

Oleum Melaleuca: Utafiti umethibitisha kwamba upambana na microorganisms ambao usababisha maambukizi ya ngozi kama vile chunusi. 
Lavandula Oleum: ni maalumu kwa ajili ya uponyaji na imekuwa ikitumika kwa karne kuponya na kuzuia makovu na kutibu vidonda. 
Calendula officinalis: ni mitishamba ambayo ina nguvu ya kutuliza, pia ni antiseptic na ni anti-inflammatory  na upambana na uchochezi wa chunusi na uponyaji wa ugonjwa wa ngozi. 
Symphytum: utumiwa kwa uponyaji na kwa ajili ya cell regeneration, ni muhimu kwa ajili ya kutibu makovu na ugonjwa wowote wa ngozi.
Pia ziwe na Chlorocresol B.P au Gentamicin Sulphate na nyinginezo.
Hakuna sababu ya kuwa na chunusi kwenye makalio. Kama unataka kuondoa chunusi, fuata maelezo na unahitaji kupata matibabu.

Matibabu ya Chunusi/Vipele.
Kuna maelfu ya dawa zinapatikana lakini inachukua muda kupata matokeo na ni muhimu kupata matibabu bora kwa mara moja na si kupoteza muda na fedha kwa kujaribu matibabu tofauti.
Matibabu haya ni bora kwa chunusi popote kwenye mwili wako.  Kwa sababu ufanya kazi kwa kasi na pia uondoa madoa, na hakuna madhara hatari upande wa dawa kama BENZOYL PEROXIDE.
Na pia unywaji wa maji ni muhimu sana kwa ngozi yako, jitahidi kunywa angalau glass 8 za maji kila siku.
Dawa Nyingine ni: 
SONADERM-GM, 
GENTRISONE cream, 
OXY 10 Acne Lotion. 
OXY 10 Acne Pimple Medication.
ELYCORT.
ClearSkin-A Gel.
Retin A.


Kama una maswali yoyote kuhusu chunusi kwenye matako, tafadhali uliza au tuma email. Kumbuka hakuna sababu ya kuwa na chunusi kwenye makalio wakati matibabu yapo yanapatikana.

Toa maoni tuambie njia au dawa nyingine zinazosaidia.

Friday, 8 April 2011

Style za Kufanya Mapenzi.

Mafanikio katika uhusiano wa kimapenzi siyo tu kuhusu Kupenda. Kama hakuna mawasiliano mazuri au ugomvi na kutokuelwana na kutokuwa na ukaribu na mpenzi wako basi mahusiano hayo yako kwenye hatihati. Kujua njia mpya ya kufanya ngono aitaleta tafauti yeyote katika mahusiano yako kama wahusika hamtobadilika. Lakini, kama mahusiano yenu ni mazuri  lakini cheche ya kufanya mapenzi imepungua waweza jaribu style mpya za kufanya mapenzi ili kuchangamsha mambo na hii itasaidia kuongeza urafiki na furaha katika uhusiano wenu. 

Ukizingatia ni kiasi gani sisi wote tunavyojaribu kufanya mapenzi au kujaribu kutafuta kupata mpenzi ambaye tunaweza kufurahia kufanya nae tendo hilo, inaweza kuwa ni ajabu kwamba watu uchoka ama uboreka kufanya mapenzi kwa kirahisi. Kufanya mapenzi ni ujuzi na inahitaji mazoezi ili kufanya vizuri na ni inahitaji mawazo mpya ya kufanya tendo hilo yaani usiwe na style moja tu ya kifo cha mende. So, relax, get your partner alongside you, discuss these positions and then have fun trying them out!!

Kifo cha Mende (Man On Top).
Number 1.


Number 2.


Number 3.


Number 4


Number 5.


Number 6.


Number 7.


Number 8.Kifo cha Mende (Woman On Top).
Number 1. Number 2.


 Number 3.


Number 4. Number 5. Number 6.


Number 7.


To be Continue......

Tuesday, 5 April 2011

Unyoaji wa Mavuzi.

Moja ya sababu ya kunyoa mavuzi ni kufanya kuwe na muonekano mzuri. Wanawake unyowa ili kuondoa mavuzi yanayonekana wakati amevaa vazi la kuogelea au bikini. Uvaji wa thong au g-string ni sababu nyingine kwa ajili ya kunyoa. Na pia mavuzi unyolewa kwa nia ya kumuamasisha mpenzi kimahaba zaidi.


 Maelezo.
 1. Amua kama unataka kuondoka zote, kupunguza kiasi au kunyoa kimitindo. 
 2. Chagua mahali pa kunyolea kama ni bafuni basi ni vizuri zaidi. Kama mahali pengine, weka bakuli ya maji moto na taulo.
 3. Vua nguo. Unaweza kubaki uchi kabisa au unaweza tu kuondoa sketi/suruali yako na chupi.
 4. Kama huko bafuni simama na weka mguu mmoja upande na hivyo unaweza kupata maoneka wa wazi wa nyeti zako. Kama huko mahali pengine, kaa na tanua miguu yako.
 5. Chukua kioo na angalia pale unataka kunyoa. Kioo kita kusidia kuona vizuri wakati wa kunyoa.
 6. Kama unatumia mkasi, kata nywele karibu na ngozi kama iwezekanavyo.
 7. Mashine za umeme ni bora kwa kukata nywele zako kwa lakini usieweke speed kubwa.
 8. Lowanisha mavuzi yako na maji ya vuguvugu (Sio ya moto)
 9. Paka sabuni au shaving cream nyeti zako. Hakikisha eneo hilo ni safi kabla ya kuanza kunyoa. Kuwa makini na sabuni unayotumia si kupaka sabuni yoyote katika nyeti zako.
 10. Safisha uke wako katika maji ya moto tena.
 11. Rudia hatua ya 4. (Simama mguu upande au kaa na kupanua miguu).
 12. Paka sabuni au Shaving Cream (sehemu ya juu ya nyeti zako ambapo nywele hukua zaidi), na kaa kwa dakika chache.
 13. Anza kunyoa na nyoa kinyume na ukuaji wa nywele. Nyoa kwenda juu.
 14. Paka tena sabuni au shaving cream na nyoa sideways ili kukata nywele zote.
 15. Kwa makini nyoa upande mmoja wa labia/pumbu yako kwa utaratibu kuepuka kujikata.
 16. Rudia hatua ya juu kwa upande wa pili wa pumbu/labia yako
 17. Ukimaliza kunyoa jifute shaving cream au sabuni na nguo mbichi au yenye maji kidogo.
 18. Safisha nyeti zako na maji ya moto kiasi. Safisha sehemu uliyonyolea nywele kisha waweza oga.
 19. Paka moisturizer after shave ili kupunguza msisimko wa kuwasha na vipele.
 20. Nyoa tena kama inahitajika au zitakapoota.


Maelezo Zaidi.
Kunyoa
Kwa ajili ya afya na usalama unahitaji kutumia wembe safi kwa kunyoa. Fikiria kazi hii ni kama kukata nyasi pale zinapoota na kuwa nyingi. Waweza tumia mkasi mkali, wembe au mashine za umeme kufanya kazi hiyo ya kunyoa.

Baadhi ya sabuni zenye marashi sio nzuri kwa kunyolea. Tumia moisturizer yenye vitamini E. Jaribu kukanda eneo ulilonyoa na kipande cha barafu (Ice Cube) juu ya ngozi yako na kisha futa (pat dry) eneo eneo liwe kavu na kitambaa safi. Hii na njia ya kutuliza asidi SALICYLIC na kuzuia nywele zitazoota kutoa vipele au kuotea ndani (Ingrown Hair).

Waxing.(Nta) 
Hii ni njia ya Imara zaidi ya kuondoa nywele na tofauti na ile ya kunyoa nywele kutokana na kuchukua muda mrefu kukua. Ushauri bora ni kuwa fanya Wax kwa mtaalamu. Waxing Kits kwa ajili ya matumizi ya nyumbani inaweza kununuliwa kutoka kwa duka la dawa. Wax inauma kidogo kama si mzoefu lakin haitakuletea muwasho kama vile ukinyoa.